Mchezo huo huenda ugeisha kwa Man City kushinda 1-0 dhidi ya wageni wao, lakini Bafétimbi Gomis akasawazisha dakika za mwisho. |
Lakini mambo
yalikuwa bado kwani kulikuwa bado na muda kwa Toure kugongesha mpira kwenye
mgongo wa Kelechi Iheanacho, na mpira huo ukamkwepa Lukasz Fabianski na kuingia
wavuni.
Bao la
kwanza la City lilifungwa na Wilfried Bony.
Manchester
City sasa wana alama 33 kileleni, wakifuatwa na Leicester City ambao watacheza
mechi yao Jumatatu dhidi ya Chelsea.
Katika mechi
nyingine za Jumamosi, Norwich walitoka sare ya 1-1 na Everton, Crystal Palace
wakapata ushindi wa 1-0 dhidi ya Southampton, Watford nao wakiondoka kwa wageni
wao Sunderland na alama tatu baada ya kushinda 1-0.
Matokeo-December
12,2015.
Norwich 1-1
Everton
Crystal
Palace 1-0 Southampton
Man City 2-1
Swansea
Sunderland
0-1 Watford
West Ham 0-0
Stoke
2030
Bournemouth v Man United
Jumapili
Desemba 13,2015.
1630 Aston
Villa v Arsenal
1900
Liverpool v West Brom
1900
Tottenham v Newcastle
Jumatatu
Desemba 14,2015.
2300
Leicester v Chelsea
|
No comments:
Post a Comment