![]() |
Halmashauri
ya wilaya ya Geita, imedai kutumia fedha
za malimbikizo ya walimu ya katika
matumizi mbalimbali ya halmashauri hiyo ikiwamo kuanzisha na kutekeleza miradi
mbalimbali ya maendeleo.
Kaimu
Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Geita,
Kawrence Kababezile ametoa kauli hiyo kufuatia malalamiko ya walimu
wilayani humo na kuitaka kulipa deni kwani yamekuwa kikwazo katika ufanisi wa kazi hali ambayo inapelekea
walimu wengi kushindwa kuendelea kufanya
kazi kwa moyo.
Amesema kuwa
fedha za madeni ya walimu zililtumwa na serikali lakini halmashauri hiyo
ilizitumia katika matumizi mengine na kuahidi fedha hizo kulipwa ifikapo
mwishoni mwa mawaka huu.
Mwenyekiti wa chama cha walimu wilaya ya Geita mwalimu
Lusato Mashauri, amesema kumekuwa na changamoto
kubwa ambazo zinakwamisha ufanisi
wa kazi kwa walimu hao, kwani wanazidai
halmashauri za wilaya na mji wa Geita zaidi ya Bilioni moja.ZAIDI -SOMA HABARI KWA KUBOFYA HAPA
Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo
na Nyingine kwa kujiunga na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia
tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.
|
Post Top Ad
Sunday, September 27, 2015

Home
HABARI
BAJETI YETU:-Fedha za Malimbikizo ya Walimu Geita zatumika katika shughuli Nyingine….Walimu walalama.
BAJETI YETU:-Fedha za Malimbikizo ya Walimu Geita zatumika katika shughuli Nyingine….Walimu walalama.
Tags
# HABARI
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
Makala Inayofuata
KAMPENI CCM 2015:-Mkutano wa Kampeni Mgombea Urais wa CCM Zanzibar Dk Shein, Viwanja vya Bungi Zanzibar .
Makala Iliyopita
EPL 2015/2016:-Manchester United 3-0 Sunderland,Leicester 2 - 5 Arsenal ,Chelsea na Manchester City kunani..??
Muonekano wa Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
AnonymousDec 10, 2019Viongozi Wilayani Kasulu watakiwa Kuimarisha Usalama Katika Korongo la Bolelo.
AnonymousJun 29, 2019Shirika la Ndege la Tanzania Laanza Safari za Afrika Kusini Leo 28/06/2019.
AnonymousJun 28, 2019
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment