Kupitia kundi la vyuo vikuu, washindi ni Dk. Jasmine Tiisekwa (61), ambaye ni
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini na Esther Mmasi (46). Kundi la vijana kutoka Bara na Zanzibar ni Khadija Nasri Ally (117), Munira Mustafa Khatibu (105), Nadra Juma Mohammed (103) na Time Bakari Sharifu (91). Wengine ni Halima Bulembo (109), Zainab Katimba (77), Julia Masaburi (62), Mariam Ditopile Mzuzuri (62), Mariam Kangoye (57) na Sophia Kizigo (42). Aliwataja walioshinda katika Kundi la Wazazi kuwa ni Catherine Peter Nao (74) kutoka Zanzibar na matokeo kwa upande wa Tanzania bara yakiwa yanaendelea kutolewa. Kuhusu kundi la wabunge Viti maalum kutoka kila mkoa, Katibu wa Idara ya Oganizesheni UWT, Riziki Kingwande, alisema wanawake walioshinda katika nafasi ya kwanza na ya pili kwenye kila mkoa wataingia moja kwa moja bungeni kulingana matokeo ya urais...Source:-Nipashe Jumapili.
Pata
Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori
inayonifikia wakati wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.
|
Sunday, August 09, 2015

UCHAGUZI UWT 2015:-Vigogo chali, sura mpya zatawala.
Tags
# SIASA
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
SIASA
Labels:
SIASA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment