Nughu ameuawa kwa kukatwa mapanga na baadhi ya viungo vyake kama mguu wa
kushoto na vidole vitatu kuchukuliwa na watu wasiojulikana.
Marehemu alikuwa mkazi wa Gasuma akijishughulisha na kilimo.
![]() |
Mguu wa marehemu Nughu Lugata ukiwa umekatwa…Picha
Na:-GPL.
|
No comments:
Post a Comment