Hizi
ni picha 3 zikionyesha jinsi wananchi wa mjini Arusha wanavyo choma mataili katika uwanja wa Kilombero ambao uliuzwa
kinyemela na sasa wananchi wamerudisha na kulifanya soko.
|
Juu na chini
na ni Askari polisi wa FFU kwa ajili ya kulinda usalama wa wananchi..na
imeripotiwa kuwa Polisi hao wamesha ondoka eneo la tukio, na mambo ni Shwari
kabisa.
|
Umati wa
watu wakiwa wanaandamana kuvunja uzio na kuweka soko mikononi mwao.Picha na Arusha yetu.
|
No comments:
Post a Comment