Wakati wa mazungumzo hayo Marais hao wawili wameelezea nia ya nchi zao kufikia suluhu kwa njia za kidiplomasia kupititia kamati maalumu iliyoundwa kushughulikia mgogoro wa mpaka kati nchi hizo uliopo kwenye ziwa Nyasa.
Rais Dkt.Jakaya Kikwete akifafanua jambo mbele ya Wanahabari mapema leo asubuhi mjini Msumbiji,ambapo Rais Kikwete amekutana na Rais wa Malawi Mhe.Joyce Banda. |
No comments:
Post a Comment