
![]() |
Hata hivyo kijiji hicho licha ya kuwa na wakaazi zaidi ya elfu tano tangu mwaka 2002 hawana shule ambapo watoto hulazimika kutumia majengo ya makanisa Kujifunza Kusoma,Kuandika Na Kuhesabu kwa kutumia walimu wa kujitolea. |


![]() |
Kutatua changamoto hizo, Wananchi hao wa Kijiji cha Nyamwilonge, Kata ya Nyamtukuza wilayani Kakonko mkoani Kigoma wamemuomba Mkuu wa wilaya ,Kanali Hosea Ndagalla kusaidia Jitihada zao ambazo wameanza kukusanya mawe,kokoto na mchanga na wametenga eneo la kuanza ujenzi wa Zahanati na Shule kufikia mwishoni wa mwezi huu wa 9 kwa nguvu zao. |

No comments:
Post a Comment