![]() |
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi
Bibi Nyasasi Masige kiasi cha Shilingi laki tano ili zimsaidie mara baada ya
kusikiliza kero yake ya madai ya kunyanga’nywa kiwanja chake.
Rais Dkt.
Magufuli ameagiza uchunguzi ufanyike haraka ili haki ya bibi huyo iweze
kupatikana.
BOFYA PLAY HAPA KUTAZAMA. |
![]() |
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wananchi wa Wilaya ya Bunda mjini wakati akiwa njiani kuelekea Musoma mkoani
Mara.
PICHA NA
IKULU.
|
No comments:
Post a Comment