Taswira ya Ujenzi wa Daraja la Ushetu -Kahama. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, August 07, 2018

Taswira ya Ujenzi wa Daraja la Ushetu -Kahama.

Moja ya Mradi Mkubwa unaotekelezwa na Kampuni ya Hi Gen katika halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyang’a na hili ni Daraja ambalo limegalimu zaidi ya shilingi milioni 400.
Daraja hili lenye urefu wa mita 58.8 kukamilika kwake litaunganisha kata mbili za Burungwa na Ushetu wilayani Kahama ambazo zilikuwa hazina mawasiliano wakati wa masika na kusababisha eneo hilo kujaa maji mengi hivyo shughuli za kimaendeleo kukwama.
 

Picha Na  –RK Kahama.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad