Taswira Picha ya Eneo la Rusumo Baada ya Ajali ya Moto August 19,2018. - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Tuesday, August 21, 2018

demo-image

Taswira Picha ya Eneo la Rusumo Baada ya Ajali ya Moto August 19,2018.

.com/simgad/
39799755_235764910468243_5012566248517533696_n
Mabaki ya magari 6 na trekta moja yaliyoteketea kwa moto August 19,2018 katika kituo cha Forodha cha Rusumo kinachounganisha Nchi ya Tanzania na Rwanda,mpaka uliopo Wilaya ya Ngara mkoani Kagera baada  ya Lori la Mafuta kupoteza mfumo wa breki na kuyagonga magari mengine yaliyokuwa yakisubiria utaratibu wa kuvuka mpakani kisha moto kulipuka na kusababisha mengine kupatwa moto huo.
39580623_2206484909595027_6926806715346190336_n
39883808_285042392087987_3942001755423768576_n
Waandishi wa Kituo cha Radio Kwizera cha wilayani Ngara,Samwel Lucas na Feliciana Manyanda wakiongea na mmoja wa Dereva ambaye gari lake liliteketea kwa moto katika tukio hilo.

Aidha hadi sasa Mkuu wa Wilaya Ngara Luteni Kanali Michael Mtenjele amesema  Halmashauri ya wilaya hiyo haina uwezo wa kununua gari la Zimamoto kwa ajili kuzuia majanga yanayotokana na moto kwani mapato ya ndani ya Halmashauri hiyo hayajitoshelezi.
39714766_2158600404399134_4211935429160599552_n
Waandishi wa Kituo cha Radio Kwizera cha wilayani Ngara,Njohore na Feliciana Manyanda wakiongea na Kiongozi wa Zimamoto mkoani Kagera kuhusu changamoto mbalimbali walizonazo kuhusu namna ya kukabili majanga ya moto mkoani Kagera.
39616369_465136273986101_3737043549531668480_n 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *