Maktaba ya Jambo Bukoba Shule ya Msingi Buhororo wilayani Ngara,Kagera. - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Tuesday, August 21, 2018

demo-image

Maktaba ya Jambo Bukoba Shule ya Msingi Buhororo wilayani Ngara,Kagera.

.com/simgad/
39760665_1999871303645259_4018460892076179456_n
Meneja Miradi wa Shirika lisilo la Kiserikali la Jambo Bukoba la Mkoani Kagera Bw.GONZAGA STEVEN (kushoto) akimkabidhi Picha ya Ukumbusho ya Wafadhili wa Mradi wa Ujenzi wa Maktaba katika Shule ya Msingi Buhororo wilayani Ngara Mwalimu Mkuu, Mwl.MASUMBUKO BWIRE Jana August 20/2018. 

Maktaba hiyo yenye Vitabu mbalimbali vya kiada na ziada imejengwa kwa fedha za wafadhili WERNER & KARIN kupitia JAMBO BUKOBA shilling milioni 4 na Mchango wa Jamii shilingi milioni 4.39777320_256441684985063_5060856270928478208_n
39762330_1889527411355804_580437548422135808_n
Wanafunzi wa Darasa la Saba wakijisomea Kitabu cha Sayansi darasani,wakikipata kwa urahisi wa kutoka katika Maktaba ya Shule yao ya Msingi Buhororo wilayani Ngara mkoani Kagera.39752024_506503216463687_641824884623671296_n

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *