![]() |
Ujenzi huo
unafanyika katika eneo jipya jirani na Kabanga mjini ambapo ujenzi huo kwa sasa
umefikia hatua Lenta.
Mzee Petro Magogwa aliyetishiwa na mtoto
wake Antony asiuze shamba vinginevyo
atafikishwa kituo cha polisi ameomba waliomuahidi kumjengea nyumba na kumsaidia
kutekeleza ahadi zao ili aache maisha ya kuhangaika.
Kutoka
Wilayani Ngara Mkoani Kagera Mwanahabari wetu Shaaban Ndyamukama anataarifa zaidi.
BOFYA KITUFE
CHA PLAY KUSIKILIZA.
|
Post Top Ad
Friday, August 31, 2018

Home
HABARI
MATUKIO
Mzee Petro Magogwa Awaomba waliomuahidi kumjengea Nyumba na kumsaidia Kutimiza Ahadi zao.
Mzee Petro Magogwa Awaomba waliomuahidi kumjengea Nyumba na kumsaidia Kutimiza Ahadi zao.
Tags
# HABARI
# MATUKIO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
Makala Inayofuata
Rais Dkt. Magufuli Azungumza na Madiwani , Watumishi Chato Mkoani Geita.
Makala Iliyopita
Gari la Waziri wa Afya lasababisha Ajali –Kahama.
MATUKIO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment