![]() |
|
Kikosi cha timu ya Simba SC.
Timu za
Yanga SC ya Tanzania na Gor Mahia ya Kenya ni timu mbili zinashiriki michuano hiyo tayari
ziko katika hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika.
|
![]() |
|
Yanga SC na Kakamega Homeboys ya Kenya wanacheza mchezo huo kuanza saa 7:00
mchana, huku Gor Mahia ambayo nayo
ni ya Kenya ikipambana na JKU ya
Zanzibar kuanzia saa 9:15 alasiri.
|
![]() |
|
Kikosi cha timu ya Yanga SC.
Simba SC ya Tanzania, wao watacheza kesho
Jumatatu June 4,2018 dhidi ya Kariobangi Sharks ya Kenya mchezo
utakaopigwa majira ya saa 9:00 alasiri ambapo siku hiyo itachezwa mechi hiyo
pekee.
Michuano
hiyo itaendelea June 5,2018, AFC
Leopards itakutana na Wazee wa Alizeti, yaani Singida United .
RATIBA LIGI YA SPORTPESA SUPER CUP
2018.
Jumapili, June 3, 2018
K akamega v
Yanga SC
7:00 MCHANA
Gormahia v
JKU
9:15 ALASIRI
Jumatatu, June 4, 2018
Kariobangi v
Simba SC
9:00 USIKU
Jumanne, June 5, 2018
AFC Leopads
v Singida United
9:00 ALASIRI
ZAWADI
Bingwa: Shilingi
68 mil.
Mshindi wa Pili:
Shilingi 22 mil.
Mshindi wa Tatu:
Shilingi 17 mil.
|









No comments:
Post a Comment