Uzibaji wa Sehemu
ya Mto Ruvubu ambako mradi wa kuzalisha na kusambaza umeme wa maji wa megawati
80 katika maporomoko ya maji ya Rusumo katika Mto Ruvubu/Kagera unaofanyika
katika eneo la Rusumo wilayani Ngara,mkoani Kagera , kumesababisha Mafuriko na
kuathiri Mashamba na Matumizi ya kivuko Cha MV RUVUBU.

Ujenzi wa
mtambo ya kuzalisha umeme unatarajiwa kutekelezwa kwa miaka mitatu na
utakamilika mwaka 2020. 
Muonekano wa
maji ya mto ruvubu yakiwa yamejaa kupita kiasi
na kusababisha Kivuko cha MV
RUVUBU kushindwa kufanya kazi yake kama kawaida
ambapo Wananchi mbalimbali
hukitumia kuvuka kama anaenda mpaka wa Rusumo kutalii au kufatilia mambo
mbalimbali yaliyopo,yapo na yajayo hasa ukizingatia ni Mpakani mwa Tanzania na
Rwanda.
|
No comments:
Post a Comment