![]() |
|
Hatimaye
Mwili wa Mbunge wa Jimbo la Buyungu,
Mwalimu Kasuku Bilago umepumzishwa leo May 31, 2018 katika nyumba
yake ya milele huko Kata ya Kasuga wilayani Kakonko mkoani Kigoma.
Mwalimu Bilago
alizaliwa Tarehe 2/2/1964 na amefariki akiwa Mbunge wa kuchaguliwa wa Jimbo la
Buyungu mkoani Kigoma ambapo alichaguliwa mwaka 2015.
|

![]() |
|
Mwalimu Kasuku Bilago alifikwa na umauti wakati akipata matibabu
katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jumamosi May 26, 2018,jijini Dar es
Salaam.
Katika Ibada
ya Mazishi yake, Wananchi waaswa kumuenzi kwa mema aliyoyatenda wakati wa uhai
wake ili kuleta tija katika maendeleo kwao na taifa kwa ujumla.
Picha –Radio Kwizera.
|








No comments:
Post a Comment