Matengenezo ya Barabara kwa Kiwango cha Lami Mjini Ngara mkoani Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, June 01, 2018

Matengenezo ya Barabara kwa Kiwango cha Lami Mjini Ngara mkoani Kagera.


Muonekano wa Barabara hii ya Mtaa wa Posta ya Zamani na Magereza mjini Ngara ambapo ni muendelezo wa Mradi wa kutengeneza barabara za mitaa mjini Ngara mkoani Kagera zenye urefu wa kilomita moja kwa kiwango cha lami, unasimamiwa na Tanzania Rural Roads Agency (TARURA).

 Mpaka unakamilika utaghalimu shilingi 304,279,220. Mkandarasi ni M/S Jensen Associates (T) LTD, Dar-es-salaam.
 
 
 
 
 
 
 
 
 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad