Bi.Elizabeth Ndululutse wa Kitongoji cha Nyamiaga,Ngara Anahitaji Msaada wa Kibinadamu. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, May 16, 2018

Bi.Elizabeth Ndululutse wa Kitongoji cha Nyamiaga,Ngara Anahitaji Msaada wa Kibinadamu.

Bi Elizabeth Ndululutse wa Kitongoji cha Nyamiaga wilayani Ngara mkoani Kagera  ana umri wa miaka 100 anaishi maisha magumu ya kukosa Msaada wa Mahitaji ya Kibinadamu.

Kwa yoyote atakayeguswa Kumsaidia atume msaada wake kupitia Sr. Oliva Niyonzima,Radio Kwizera FM Ngara au Simu namba +255766381705

Nyumba anayoishi Bi Elizabeth Ndululutse wa Kitongoji cha Nyamiaga wilayani Ngara mkoani Kagera  ana umri wa miaka 100 anaishi maisha magumu ya kukosa Msaada wa Mahitaji ya Kibinadamu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad