![]() |
Ndege mpya
ya Shirika la ndege la ATCL aina ya Bombardier Q400 ikiwa imeegeshwa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege
wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
|
![]() |
Ndege mpya
ya Shirika la ndege la ATCL aina ya Bombardier Q400 ikiwasili katika uwanja wa
ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere huku ikipewa heshma ya kumwagiwa maji(water salute) mara baada ya
kutua.
|
![]() |
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama
Janeth Magufuli, viongozi mbalimbali wa dini na Serikali akikata utepe
kuashiria uzinduzi wa ndege Ndege mpya ya Shirika la ndege la ATCL aina ya
Bombardier Q400 mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere.
|
![]() |
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono na
kushukuru wakati akiingia katika ndege
hiyo mpya ya Bombardier Q400 iliyowasili kutoka nchini Canada.
|


![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono na kushukuru wakati akiingia katika ndege hiyo mpya ya Bombardier Q400 iliyowasili kutoka nchini Canada. |
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amewashika mikono marubani wawili waliokuja na ndege hiyo mpya. |
![]() |
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka jiwe la msingi
mfumo wa usimikaji wa Rada katika viwanja vinne vya ndege (Mwalimu Julius
Nyerere-Dar es Salaam, Mwanza, KIA-Kilimanjaro na Songwe katika hafla
iliyofanyika katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere
jijini Dar es Salaam.
|

![]() |
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza
mwanamuziki wa Bongo flavor Naseeb Abdul-Diamond platinum mara baada ya kuweka
jiwe la msingi mfumo wa usimikaji wa Rada katika viwanja vinne vya ndege
(Mwalimu Julius Nyerere-Dar es Salaam, Mwanza, KIA-Kilimanjaro na Songwe katika
hafla iliyofanyika katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere jijini Dar es Salaam.
|

No comments:
Post a Comment