Mkutano wa 11 wa Bunge unatarajiwa kuanza kesho Aprili 3 na kumalizika Juni 29, 2018 Mjini Dodoma. Kutakuwa na kiapo cha Uaminifu kwa Wabunge wapya wawili, Dkt. Godwin Mollel (Siha) na Maulid Mtulia (Kinondoni). HII NI TAARIFA KAMILI HAPA CHINI.
No comments:
Post a Comment