Hali ya barabara ya Nyakanazi(Kagera) kwenda Kakonko (Kigoma). - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Thursday, March 29, 2018

demo-image

Hali ya barabara ya Nyakanazi(Kagera) kwenda Kakonko (Kigoma).

.com/simgad/
29542024_10155593289697736_4042216116415401321_n
‘’Kutokana na Mvua zinazonyesha sasa maeneo mengi nchini, hali ni Mbaya barabara ya Nyakanazi(Kagera) kwenda Kakonko (Kigoma), mamia ya wasafiri wamekuwa wakipata changamoto eneo hilo baada ya kukwama wakitokea maeneo mbalimbali nchini hususani Kigoma, Mwanza, Kahama na Kagera. Bila shaka TANROAD wanapaswa kuitazama kwa ukaribu barabara hii wakati kasi ya mkandarasi wa barabara hii kutoka Nyakanazi hadi Kabingo akiendeleza kujenga kwa kasi ndogo sana’’-Prosper Laurent Kwigize.29683402_10155593289677736_5473120211835102790_n

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *