Matokeo ya Uchaguzi: CCM yaibuka Kidedea Ubunge Siha na Kinondoni. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, February 18, 2018

Matokeo ya Uchaguzi: CCM yaibuka Kidedea Ubunge Siha na Kinondoni.

Mbunge wa Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Maulid Mtulia.

Tume ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza Maulid Mtulia wa Chama cha Mapinduzi(CCM) kuwa mshindi wa uchaguzi mdogo wa Ubunge, Jimbo la Kinondoni baada ya kupata kura 30,313 dhidi ya mpinzani wake wa karibu, Salum Mwalim (CHADEMA) aliyepata kura 12,353.

Nae Mgombea Dkt. Godwin Mollel (CCM) ameibuka mshindi wa kiti cha ubunge katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro uliofanyika jana Jumamosi, Feb 17, 2017.

Ikitangaza matokeo hayo, Tume ya Uchaguzi (Nec), imesema Dkt. Mollel amepata kura 25,611 dhidi ya kura 5,905 alizopata Elvis Mosi wa CHADEMA, kura 274 alizopata Tumsifueli Mwanri wa CUF na kura 170 alizopata Azaria wa SAU.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad