![]() |
URA na Azam
FC zimetokea Kundi A ambako ziliwapiku vigogo, Simba SC ya Dar es Salam
walioshindwa kuingia hatua ya mtoano.
Ikumbukwe katika mchezo uliotangulia, URA iliwatupa nje Mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Yanga SC kwa penalti 5-4 baada ya sare ya 0-0 ndani ya dakika 90.
Ni mara ya
tatu mfululizo Yanga SC kupoteza mechi ya nusu fainali na kuaga mashindano ya
Mapinduzi kwani mwaka 2016 na 2017 pia ilipoteza nusu fainali zake na kushia
kuisikia fainali ya mapinduzi kwa muda mrefu.
Yanga SC wamepoteza nusu fainali kwa mara ya pili mfululizo dhidi URA na mara zote wakitolewa kwa mikwaju ya penati, mwaka 2016 walitupwa nje ya mashindano kwa penati 4-3 baada ya sare ya kufungana 1-1. |
Thursday, January 11, 2018

URA na Azam FC Fainali Mapinduzi Cup- January 13,2018.
Tags
# DONDOO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
DONDOO
Labels:
DONDOO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment