Taswira Picha 6 za Mji wa Ngara mkoani Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, January 19, 2018

Taswira Picha 6 za Mji wa Ngara mkoani Kagera.

Hili ni Jengo la Kituo cha Habari cha Radio Kwizera FM lililopo mjini Ngara,wilayani Ngara mkoani Kagera na hapa linaonekana kutoka Juu angani.

 Radio Kwizera FM .

Taswira Picha ya Jengo la Benki ya NMB Tawi la Ngara mkoani Kagera  na hapa linaonekana kutoka Juu angani.

Juu na Chini ni  Taswira ya Mji wa Ngara .


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad