Salum Mwalimu Mgombea Ubunge, Jimbo la Kinondon-CHADEMA. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, January 19, 2018

Salum Mwalimu Mgombea Ubunge, Jimbo la Kinondon-CHADEMA.

Mgombea Ubunge, Jimbo la Kinondoni CHADEMA, Salum Mwalimu.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kimemteua Salum Mwalim (pichani) kugombea Ubunge katika Jimbo la Kinondoni (Dar Es Salaam) na Elvis Christopher kugombea Ubunge katika Jimbo la Siha (Kilimanjaro).

Uamuzi huo umefanywa na Kamati Kuu ya chama hicho iliyomaliza vikao vyake leo January 19, 2018 ambapo wagombea wote tayari wameshachukua fomu za uteuzi na watazirejesha kesho, Januari 20, 2018.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad