
![]() |
Mganga mkuu
wa Hospitali ya Rubya Dr George Kasibante wilayani Muleba mkoani Kagera (kulia)
akitoa maelezo kwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba mkoani Kagera,
Methodius Kilaini na Wajumbe wa Bodi ya Afya ya Hospitali hiyo baada ya kupokea
pikipiki mbili zilizotolewa na wafadhili kutoka nchini Uholanzi ikiwa ni sehemu
ya vifaa tiba vilivyotolewa na wafadhili hao kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa
wanaosumbuliwa na magonjwa yasiyotibika ili kuwaongezea siku zao za kuishi.
|





No comments:
Post a Comment