![]() |
Wachezaji Kutoka Shule ya Msingi
Ngoma/Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Jambo Bukoba ni Shirika lisilokuwa la Serikali linalofanya kazi mkoani Kagera kwa kushirikiana na serikali ya Mkoa. Jambo Bukoba ilianzishwa Mkoani Kagera kwa kusaidia watoto hasa Wanafunzi wa Shule za Msingi kuanzia miaka 5 hadi 19 kujenga Afya zao Kimichezo ili kujikinga na Maabukizi ya UKIMWI, kuweka haki sawa katika Elimu kupitia michezo kwa Wasichana na Wavulana. Tangu kuanzishwa kwake mkoani Kagera limekuwa likiwafunza watoto katika shule za msingi kila wilaya michezo midogo midogo ya kujenga ushirikiano wa pamoja hasa watoto wa kike kujiamini na kushirikiana zaidi na wenzao wa kiume. |
Saturday, January 27, 2018

Alama 90 zaipa Ngara Ushindi wa Pili Kimkoa Jambo Bukoba.
Tags
# MICHEZO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
MICHEZO
Labels:
MICHEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment