Tangazo la Nafasi za Kazi 560 za Wadadisi 2017. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, September 02, 2017

Tangazo la Nafasi za Kazi 560 za Wadadisi 2017.

Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inawatangazia watanzania wenye sifa kuomba kazi ya muda ya udadisi au ukusanyaji wa takwimu nafasi 560 kwa ajili ya Utafiti wa Kilimo wa Mwaka 2016/17 utakaofanyika katika mikoa yote ya Tanzania Bara. 

Utafiti huu unahitaji mwombaji atoke kwenye mkoa anaoishi na awe tayari kufanya kazi kwa kipindi chote cha mwezi mmoja (1).



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad