Madiwani Ngara/Kagera wapata Makamu Mwenyekiti. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, September 05, 2017

Madiwani Ngara/Kagera wapata Makamu Mwenyekiti.

Kutoka kulia ni aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilayani ya Ngara  mkoani Kagera na Diwani wa Kata ya Rusumo,Mhe.Wilbard Bambara akibadilishana Joho na aliyechukua nafasi yake Mhe.Georgia Mnyonyela ambaye  Agosti 16,2017 alichaguliwa na Madiwani wote 30 wa Chama cha Mapinduzi -CCM kuwa Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo kwenye kikao cha baraza la Madiwani wilayani Ngara.

Kutoka kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilayani ya Ngara  mkoani Kagera  Mhe.Georgia Munyonyera akisimama sambamba na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo na Diwani wa Kata ya Bukiriro Mhe.Eric Nkilamachumu.

Mhe.Georgia ambaye pia ni Diwani Viti Maalum ,amechaguliwa  Agosti 16,2017 na Madiwani wote 30 wa Chama cha Mapinduzi -CCM kuwa Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo kwenye kikao cha baraza la Madiwani wilayani Ngara.


Baraza la Madiwani la Halmashauri ya wilaya ya Ngara katika picha likiundwa na Madiwa wote 30 wakitoka Chama cha Mapinduzi -CCM.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad