![]() |
|
Ajali hiii
imetokea eneo la Kitonga leo hii September 17,2017 muda mchache ulio pita kati ya Lori na Basi mali ya
Kampuni ya ABOOD.
![]() |
![]() |
|
Taarifa kutoka
eneo la ajali zinasema kuwa dereva wa Lori ndiye kajeruhiwa sana.
Taarifa
zaidi tutaendelea kukuletea hapa.
|









No comments:
Post a Comment