EPL 2017/2018 - Lacazette Aipa Arsenal Ushindi wa bao 2-0. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, September 26, 2017

EPL 2017/2018 - Lacazette Aipa Arsenal Ushindi wa bao 2-0.

West Bromich Albion imekwama kuhimili kishindo cha wenyeji Arsenal na kupewa kipigo cha bao 2 -0 na Arsenal waliokuwa katika dimba lao la Emirates.


Kwa matokeo hayo yanawafanya Arsenal kubaki katika nafasi ya saba ya msimamo wa Ligi kuu Uingereza wakiwa na alama zao 10 huku Manchester City wakiwa kileleni sawa na Manchester Uinted wenye alama 16 wote huku Chelsea akiwa wa tatu na Pointi 13.



Alexandre Lacazette akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Arsenal dakika ya 20 na lingine dakika ya 67 kwa penalti katika ushindi wa 2-0 dhidi ya West Bromwich Albion kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza 2017/2018 Usiku wa Jana Jumatatu September 25,2017.

Kubwa lingine katika mchezo huo ni Alexandre Lacazzete anafikisha bao lake la 4 msimu huu idadi sawa na mabao waliyofunga West Brom hadi sasa.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad