Taswira Picha Ukamilikaji wa Asilimia 99 wa Ujenzi wa Daraja la Waenda kwa Miguu la Furahisha, Mkoani Mwanza. - Mwana Wa Makonda

Breaking

Post Top Ad

Monday, July 17, 2017

Taswira Picha Ukamilikaji wa Asilimia 99 wa Ujenzi wa Daraja la Waenda kwa Miguu la Furahisha, Mkoani Mwanza.

Maendeleo ya Ujenzi wa Daraja la Waenda kwa Miguu la Furahisha, Mkoani Mwanza ambalo ujenzi wake umekamilika kwa % 99.7 .

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Tanzania, Profesa Makame Mbarawa wa pili kushoto akikagua Ujenzi huo wa Daraja la Waenda kwa Miguu la Furahisha.

Post Bottom Ad