Taarifa ya ajali ya Bus la KIAZI KITAMU July 17, 2017 - Arusha kwenda Mwanza. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, July 18, 2017

Taarifa ya ajali ya Bus la KIAZI KITAMU July 17, 2017 - Arusha kwenda Mwanza.

Taarifa ya ajali ya Bus la KIAZI KITAMU Jana July 17, 2017 huko Arusha kwenda Mwanza eneo la Monduli Arusha na kusababisha kifo cha mtu mmoja na majeruhi Kadhaa. 

 Toa ripoti katika Namba +255682887722 kwa uvunjifu wowote wa Sheria za Usalama Barabarani.
Post Bottom Ad