|
Ujenzi wa
ukarabati wa upanuzi wa bandari ya Dar es salaam umepangwa kufanyika kwa miezi
30 kuanzi sasa kwa gharama ya shilingi Bilioni 926.2.
Rais
Magufuli ameyasema hayo Jana July 02,2017 katika Eneo la Bandari ya Dar es
Salaam alipokuwa akiweka jiwe la msingi la mradi wa uboreshaji wa bandari hiyo.
Ambapo
shilingi bilioni 132 zinatolewa na serikali ya Tanzania na shilingi bilioni 770
zinatolewa na mkopo wa masharti nafuu kutoka benki ya dunia na shilingi bilioni
24 ni msaada kutoka shirika la Maendeleo Uingereza.
Soma taarifa
kamili:
|
No comments:
Post a Comment