Taswira Picha Msafara wa Magari ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi,Malisili na Utaalii na Ubovu wa Miundombinu ya Barabara. - Mwana Wa Makonda

Breaking

X-BET


Post Top Ad

Friday, March 10, 2017

Taswira Picha Msafara wa Magari ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi,Malisili na Utaalii na Ubovu wa Miundombinu ya Barabara.

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Utalii inayoongozwa na Mwenyekiti wake Mhe.Atashsta Ndetiye  pamoja na Waziri wa Malisili na Utalii,Prof ,Jumanne Maghembe yakipita katika maeneo mbalimbali ya Pori Tengefu la Loliono kwa ajili ya kujionea hai halisi ya mgogoro ulioo katika eneo hilo ambapo Kamati ilikutana pia na Changamoto ya ubovu wa Miundombinu ya barabara hali iliyolazimu magari kupita kwa tahadhali.

Kamati ilikutana pia na Changamoto ya uboovu wa Miundombinu ya barabara hali iliyolazimu magari kupita kwa tahadhali.

Post Bottom Ad