Rais Robert Mugabe Apelekwa Singapore kwenye Vipimo vya Afya yake. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, March 02, 2017

Rais Robert Mugabe Apelekwa Singapore kwenye Vipimo vya Afya yake.

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe.

Rais wa Zimbambwe Robert Mugabe ameenda Singapore kufanya vipimo vya Afya yake, siku chache baada ya sherehe ya kufikisha miaka 93.

Mugabe amekua dhaifu zaidi, na sasa anapata shida hata kutembea wakati wa matukio mbalimbali ya kitaifa.
Msemaji wa rais huyo alisema kuwa vipimo hivyo ni vya mara kwa mara na Rais anatarajiwa kurejea nchini Zimbabwe wiki ijayo. 

Rais Mugabe ni kiongozi mwenye umri mkubwa zaidi duniani, aliingia madarakani mnamo mwaka 1980.

Post Bottom Ad