Kesi ya Vijana 7 wa Chadema ya Ukusanyaji Matokeo ya Uchaguzi 2015 Yafutwa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, December 01, 2016

Kesi ya Vijana 7 wa Chadema ya Ukusanyaji Matokeo ya Uchaguzi 2015 Yafutwa.

Kesi ya ukusanyaji matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 iliyokuwa ikiwakabili vijana saba wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imefutwa rasmi leo,Al hamisi December 01,2016 na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
Hatua hii imekuja baada ya upande wa mashitaka kuliondoa shauri hili mahakamani kwa mujibu wa sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai kifungu cha 91(1).

Hivyo, washitakiwa wote saba wameachiwa huru na Mahakama.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad