Taswira Picha "Maajabu" gari hili na Ajali eneo la Busiri wilayani Biharamulo/Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, October 19, 2016

Taswira Picha "Maajabu" gari hili na Ajali eneo la Busiri wilayani Biharamulo/Kagera.


Ajali hii imetokea hivi Karibuni  katika eneo la Busiri , wilayani Biharamulo Mkoani Kagera ambapo imehusisha gari kubwa hili katika picha  na moja dogo aina ya Hiace.

 Inadaiwa kuwa hakuna Mtu aliyepoteza maisha wala  kujeruhiwa. 

Chanzo cha ajali hiyo ni magari hayo Kukwepana kwenye  mashimo yanayosababishwa na uchakavu /ubovu wa barabara ya Nyakanazi- Lusahunga - Rusumo/ Benaco/Ngara.




No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad