Rais Joseph Kabila na Ziara ya Kiserikali ya Siku 3 Nchini Tanzania. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, October 04, 2016

Rais Joseph Kabila na Ziara ya Kiserikali ya Siku 3 Nchini Tanzania.

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake mara kuwasili Jana Octoba 03,2016 katika Uwanja wa kimataifa wa Ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere JNIA.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa kimataifa wa Ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere JNIA.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad