VIDEO:CHADEMA Wasitisha Maandamano ya UKUTA. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, August 31, 2016

VIDEO:CHADEMA Wasitisha Maandamano ya UKUTA.

Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ametangaza kusitishwa kwa maandamano ya Oparesheni UKUTA yaliyokuwa yamepangwa kufanyika kesho nchi nzima.

Mbowe ametoa kauli hiyo ya kuahirisha maandamano leo Agosti 31,2016,mchana huu wakati akiongea na vyombo mbalimbali vya habari.

 Amesema sababu kubwa za kuahirisha maandamano hayo ni busara za viongozi wa dini ambao wameiomba Chadema iwape muda wa   kutafuta Suluhu

Mbowe amesema maandamano hayo yameahirishwa hadi Oktoba Mosi,2016.

Bofya hapa Umsikilize Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe hapo chini akiongea


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad