TASWIRA PICHA:-Za Ajali ya Basi na Malori Mawili na kua Watu 11 Mkoani Morogoro. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, July 01, 2016

TASWIRA PICHA:-Za Ajali ya Basi na Malori Mawili na kua Watu 11 Mkoani Morogoro.

Taarifa hiyo inasema kuwa watu 11 wamefariki dunia na wengine ambao idadi yao bado haijajulikana wamejeruhiwa.
Ajali hiyo iliyotokea leo Alfajiri July 1, 2016 baada ya Lori la Mafuta na Semi kugongana na gari hizo kuwaka moto, kisha baadaye  Basi la OTTA lenye namba za Usajili T 201 DGK kutoka Bukoba kuelekea Dar es Salaam  likaigonga mojawapo ya gari zilizopata ajali kama unavyoona kwenye picha.











No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad