TASWIRA PICHA :-Tazama Picha Ufunguzi wa Hotel ya Moorland Primier Limited iliyopo mjini Ngara jana July 08, 2016. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, July 09, 2016

TASWIRA PICHA :-Tazama Picha Ufunguzi wa Hotel ya Moorland Primier Limited iliyopo mjini Ngara jana July 08, 2016.

Katibu Tawala Mkoa wa Kagera ,Mhe. Amantius Msole akikata utepe kufungua Hotel ya kisasa ya Moorland Primier Limited iliyopo mjini Ngara jana  July 08, 2016, wanaoshuhudia ni  Mkurugenzi wa Hotel hiyo  Bw Wiliam Emanuel Nyanungu na Familia yake sambamba na Viongozi mbalimbali wa Serikali,Wafanyabiashara na Wananchi.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa Hotel ya kisasa ya Moorland Premier  Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali mstaafu Salum Mustafa Kijuu aliyewakilishwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera Bw Amantius Msole amesema wakati sasa umefika kwa Watanzania kuachana na  kasumba ya kuwathamini wawekezaji wa kigeni , Wakati huo huo wamekuwa kikwazo kwa wawekezaji wazawa kwa kutawaliwa na msukumo wa kijicho, unafiki, kinyongo, chuki za kisiasa na wivu wa kubomoa badala ya wivu wa maendeleo.

Amesema ni vyema kuwathamini na kuwaunga mkono Wawekezaji wazawa kwa maendeleo ya Watanzania kwa jumla.
 
Paroko wa Parokia ya Ngara mjini ,Padri Sixmund Nyabenda akiongoza ibada ya kuomba wakati wa ufunguzi wa Hotel ya kisasa ya Moorland Primier Limited iliyopo mjini Ngara hapo jana  July 08, 2016.
Pichani juu na chini , Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Hotel hiyo  Bw Wiliam Emanuel Nyanungu na Familia yake sambamba na katibu Tawala Mkoa wa Kagera katikati , Viongozi mbalimbali wa Serikali,Wafanyabiashara na Wananchi wakishuhudia Ufunguzi wa Hotel ya kisasa ya Moorland Primier Limited iliyopo mjini Ngara ,ufunguzi uliofanyika hapo jana  July 08, 2016.




Muonekano wa Vitanda katika Vyumba vya Hotel ya kisasa ya Moorland Primier Limited iliyopo mjini Ngara .

Juu na chini ni Matukio Picha wakati wa ufunguzi wa Hotel ya kisasa ya Moorland Primier Limited iliyopo mjini Ngara uliofanyika hapo jana  July 08, 2016.



.....Taswira ya Meza kuu.......

Bi Mary Wiliam aka Mary Paradise akifurahia jambo wakati wa ufunguzi wa Hotel yao ya kisasa ya Moorland Primier Limited iliyopo mjini Ngara jana  July 08, 2016.
Mwenyekiti wa Halmashauri wa Wilaya ya Ngara mkoani Kagera na Diwani wa Kata ya Bukiriro-CCM-Mhe Erik Nkilamachumu akichat ,anayemfatia wa pili kulia ni Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe.Alex Gashaza wakati wa ufunguzi wa Hotel ya kisasa ya Moorland Primier Limited iliyopo mjini Ngara jana  July 08, 2016.

MNEC wilaya ya Ngara,Mhe.Issa Samma na Mkewe kulia wakifatilia matukio mbalimbali wakati wa ufunguzi huo wa Hotel ya kisasa ya Moorland Primier Limited iliyopo mjini Ngara jana  July 08, 2016.
Paroko wa Parokia ya Ngara mjini ,Padri Sixmund Nyabenda.

Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera na Mbunge wa zamani wa Jimbo la Ngara wapili  kulia akiwa na mke kulia wakishuhudia ufunguzi wa Hotel ya kisasa ya Moorland Primier Limited iliyopo mjini Ngara jana  July 08, 2016

Afisa Michezo wilaya ya Ngara ,Said Salumu sambamba na wadau mbalimbali katika picha hapa chini nao wakifatilia matukio mbalimbali wakati wa ufunguzi wa Hotel ya kisasa ya Moorland Primier Limited iliyopo mjini Ngara jana  July 08, 2016.


Wanakamati wakishiriki zoezi la kufungua Shampeni ....



Mambo tayari sasa...........


Meza kuu ikiwa tayari kwa kushiriki zoezi la Chiazzzz wakati wa ufunguzi Hotel ya kisasa ya Moorland Primier Limited iliyopo mjini Ngara jana  July 08, 2016.

.......Mnuso wa chiazzzzzz ukiendelea...........


Muonekano wa matukio wakati wa ufunguzi wa Hotel ya kisasa ya Moorland Primier Limited iliyopo mjini Ngara jana  July 08, 2016.




Muonekano wa nje wa Hotel ya kisasa ya Moorland Primier Limited iliyopo mjini Ngara iliyofunguliwa hapo  jana  July 08, 2016.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad