ZUIA UHALIFU:-Kupata Msaada wa Haraka wa Jeshi la Polisi Piga No. 111 au 112 bure! - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, June 25, 2016

ZUIA UHALIFU:-Kupata Msaada wa Haraka wa Jeshi la Polisi Piga No. 111 au 112 bure!

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba kupitia mtandao wa twitter ameweka namba maalum ambazo zitakuwa hewani kila siku kwa saa 24 kwa ajili ya kupokea taarifa zozote kutoka kwa raia wema zinazohusu uharifu, ajali, moto na nyingine ambapo baada ya kupokea taarifa hizo eshi la Polisi litazifanyia kazi mara moja.

Kupiga namba hizo ni bure ambapo mwananchi hatotozwa kiwango chochote cha pesa na anaruhusiwa kupiga kupitia mtandao wowote wa simu.

HAPA CHINI NI…’’ Alichokiandika Mwigulu kwenye twitter: “Piga simu namba 111 au 112 kutoa taarifa jeshi la polisi kuhusu uhalifu wowote,utapata msaada kwa haraka.

Sehemu ya Umati wa wananchi waliohudhuria leo ,June 25, 2016 wakati akihutubia kwenye hafla ya Uzinduzi wa Kuboresha Usalama wa Raia, iliyofanyika kwenye Viwanja vya BIAFRA, Kinondoni jijini Dar es Salaam ambapo Rais Magufuli alikuwa Mgeni Rasmi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad