YANAYOJIRI BUNGENI LEO:-Wabunge UKAWA na Mtindo Mpya wa Kuvaa Nguo Nyeusi Na Kutoka Nje Wakiwa na Mabango. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, June 30, 2016

YANAYOJIRI BUNGENI LEO:-Wabunge UKAWA na Mtindo Mpya wa Kuvaa Nguo Nyeusi Na Kutoka Nje Wakiwa na Mabango.

Wabunge wa Kambi Rasmi ya Upinzani leo June 30, 2016 asubuhi wameingia bungeni wakiwa wote wamevalia nguo nyeusi walipohudhuria kikao cha 54 cha Bunge la Bajeti mjini Dodoma.

Baada ya Naibu Spika Dk Tulia Ackson kuingia bungeni na kuongoza dua ya kuliombea Bunge, walianza kunyanyua mabango mbalimbali na kutoka nje.




No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad