SAKATA LA WAKIMBIZI:-Uingereza kuongeza msaada kwa Wakimbizi wa Burundi. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, June 19, 2016

SAKATA LA WAKIMBIZI:-Uingereza kuongeza msaada kwa Wakimbizi wa Burundi.

Pichani ni Miongoni mwa wakimbizi kutoka Nchini Burundi walioko mkoani Kigoma katika Kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu iliyoko wilayani Kasulu, baada ya kukimbia ghasia nchini mwao. Picha ya Maktaba.
   
 Serikali ya Uingereza itaongeza msaada wa pauni 15 milioni za Uingereza kusaidia wakimbizi wa Burundi waliopo Nchini Tanzania.

Ongezeko hilo litafikisha kiwango cha pauni 29.25 milioni (Sh90 bilioni za Tanzania) zilizotolewa tangu mwaka 2015.

Awali, Serikali ya Uingereza ilitoa pauni14.25 milioni kwa ajili ya chakula, dawa na majisafi kusaidia wakimbizi hao waliokuwa wakiongezeka kutafuta hifadhi salama nchini tangu 2015.

Ongezeko hilo la msaada linakuja kufuatia kuongezeka kwa wakimbizi kufikia 143,000 sawa na nusu ya wakimbizi 267,000 waliopo ukanda wa Afrika. KUSOMA ZAIDI HABARI HII..BOFYA HAPA.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad