EURO 2016:-Giorgio Chiellini na Graziano Pelle wawavua Hispania Ubingwa sasa Italia usoni mwa Ujerumani Jumamosi. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, June 27, 2016

EURO 2016:-Giorgio Chiellini na Graziano Pelle wawavua Hispania Ubingwa sasa Italia usoni mwa Ujerumani Jumamosi.

Mabingwa Watetezi wa Kombe la EURO, Hispania Leo,June 27, 2016 wamevuliwa Taji lao baada ya kuchapwa 2-0 na Italia ( Pichani ) katika Mechi ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16 Bora Euro 2016 Uwanja wa Stade de France mjini Paris, Ufaransa.
Beki wa kati wa Juventus, Giorgio Chiellini (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia Italia bao la kwanza dakika ya 33 huku  Bao la pili lilifungwa na Graziano Pelle dakika ya 90 na sasa Italia itamenyana na Mabingwa wa dunia, Ujerumani katika Robo Fainali.
Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya EURO 2016 itamalizika Leo Usiku huko Mjini Nice kwa Mechi kati ya Uingereza dhidi ya  Iceland.

ROBO FAINALI.

Alhamisi Juni 30, 2016.

Robo Fainali ya 1, (2200, Stade Velodrome, Marseille)

Poland v Portugal

Ijumaa Julai 1, 2016.

Robo Fainali ya 2, (2200, Stade Pierre Mauroy, Lille)

Wales v Belgium

Jumamosi Julai 2, 2016.

Robo Fainali ya 3, (2200, Stade de Bordeaux)

Germany v Italy

Jumapili Julai 3, 2016.

Robo Fainali ya 4, (2200, Stade de France, Paris)

France v England v Iceland

NUSU FAINALI

Jumatano Julai 6, 2016.

Mshindi Robo Fainali ya 1 v Mshindi Robo Fainali ya 2 (2200, Stade de Lyon)

Poland au Portugal v Wales au Belgium

Alhamisi Julai 7, 2016.

Mshindi Robo Fainali ya 3 v Mshindi Robo Fainali ya 4 (2200, Stade Velodrome, Marseille)

Germany/Italy v France/England au Iceland

FAINALI

Jumapili Julai 10, 2016.

(2200, Stade de France, Paris)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad