Huu ni
muonekano wa Hali ilivyokuwa si nzuri leo January 18,2016 katika eneo la Bonde la Mkwajuni, Kinondoni
jijini Dar es salaam, wakati Wananchi waliobomolewa nyumba zao walipofunga
barabara na kuchoma moto mataili pande zote za barabara
Jeshi la
Polisi lilifika eneo la tukiokukabiliana na tukio hilo.
Hapa
Chini Kuna Video Ya Tukio Hilo. Itazame Ujionee..
Papo kwa Papo >>>>Pata Picha, Habari za Siasa, Kijamii,
Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha
kwa WhatsApp +255789925630.
No comments:
Post a Comment