Kiporo cha mechi
ya Ligi Kuu Vodacom, VPL, iliyochezwa Jana January 30, 2016 huko Manungu,
Morogoro, kati ya Mtibwa Sugar na Stand United na kuvunjika kutokana na Mvua
kubwa huku Mtibwa Sugar wakiwa mbele kwa Bao 1-0 imemaliziwa Leo January 31,
2016 kwa Dakika zilizosalia ambapo hadi Dakika 90 zinamalizika Mtibwa Sugar
walibakiwa na Bao lao lilelile la Jana hivyo kushinda 1-0 na kuzoa Pointi 3
ambazo zimewachimbia Nafasi ya 4 wakiwa Pointi 5 nyuma ya Timu ya 3 Simba na
Pointi 8 nyuma ya Vinara Yanga SC.
Stand United
wapo Nafasi ya 6 wakiwa Pointi 3 nyuma ya Mtibwa Sugar.
LIGI KUU VODACOM-2015/2016.
Ratiba.
Jumapili Januari 31,2016.
Mgambo JKT v
Ndanda FC
Kagera Sugar
v Mbeya City
Jumatano Februari 3,2016.
Kagera Sugar
v Majimaji
Tanzania
Prisons v Yanga
Simba v
Mgambo JKT
JKT Ruvu v
Mbeya City
African
Sports v Mwadui FC
Mtibwa Sugar
v Toto Africans
Azam FC v
Stand United
Coastal
Union v Ndanda FC
Jumamosi Februari 6,2016.
Kagera Sugar
v Simba
Mbeya City v
Tanzania Prisons
JKT Ruvu v
Yanga
African
Sports v Stand United
Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za Siasa, Kijamii,
Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha
kwa WhatsApp +255789925630 .
|
No comments:
Post a Comment