Baadhi
ya mabango yakiwa yamewekwa na Kamapuni ya TTCL katika maeneo ya makutano ya
barabara Mwenge na Kawe jijini Dar es Salaam kuitambulisha bidhaa ya 4G-LTE kwa
wateja wa jiji la Dar es salaam.
|
Baadhi ya
mabango yakiwa yamewekwa na Kamapuni ya TTCL katika maeneo ya makutano ya
barabara Mwenge na Kawe jijini Dar es Salaam kuitambulisha bidhaa ya 4G-LTE kwa
wateja wa jiji la Dar es salaam.
“Ukienda kwenye ofisi zetu na vituo vya huduma
kwa wateja utapata huduma hiyo mara moja” amesema Beda Kinunda Hivi karibu TTCL
ilizindua huduma za 4G LTE kwa jiji la Dar es salaam ambayo inapatikana katika
maeneo Posta(City Centre), Kariakoo, Upanga, Magomeni, Kijitonyama, Oysterbay,
Ubungo, Mbezi, University of Dar es salaam, Pugu Road, Airport, Quality Centre,
Kisutu, Mwananyamala, Kurasani na Tabata. Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL)
inatekeleza mkakati kabambe wa mabadiliko ya kibiashara wenye lengo mahsusi la
kuleta mageuzi makubwa katika biashara ya mawasiliano simu na Data nchini.
|
Baadhi ya
mabango yakiwa yamewekwa na Kamapuni ya TTCL katika maeneo ya makutano ya
barabara Mwenge na Kawe jijini Dar es Salaam kuitambulisha bidhaa ya 4G-LTE kwa
wateja wa jiji la Dar es salaam. KWA
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630 . |
No comments:
Post a Comment