MVUA TANZANIA:-Taswira Picha hii ni shimo Eneo la mtua Barabara ya Lindi – Masasi. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, January 23, 2016

MVUA TANZANIA:-Taswira Picha hii ni shimo Eneo la mtua Barabara ya Lindi – Masasi.

Mvua zinazoendelea kunyesha nchini Tanzania katika maeneo mbalimbali ,hapo Jana January 22, 2016 usiku imeleta madhala ya kubomoa daraja maeneo ya mtua Barabara ya Lindi – Masasi.

Tazama athari zake katika picha hizi zaidi kwa hisani ya...ROAD SAFETY AMBASSADORS(RSA)-TANZANIA.

Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630 .

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad