Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa wabunge, bungeni mjini Dodoma Januari 22,
2016. Kulia ni Spika wa Bunge Job Ndugai
na kushoto ni Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kahilillah.
|
Wabunge,
Jenista Mhagama wa Peramiho (kushoto) na January Makamba wakiteta katika mkutano wa wabunge, bungeni
mjini Dodoma.
|
Mwanasheria
Mkuu wa Serikali, Gerge Masaju akitoa mada katika mkutano wa wabunge , Bungeni
mjini Dodoma Januari 22, 20167.
|
Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa wabunge, bungeni mjini Dodoma Januari 22,
2016. Kulia ni Spika wa Bunge Job Ndugai
na kushoto ni Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kahilillah.
|
Mkurugenzi
wa Shughuli za Bunge, Nenelwa Mwihambi akitoa mada katika mkutano wa wabunge
ulioongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, buneni mjini Dodoma Januari 22,
2016. Watatu kulia ni Spika wa Bunge Job Ndugai na kulia ni Katibu wa Bunge,
Dkt. Thomas Kashilillah.
|
Spika wa
Bunge Job Ndugai akizungumza kumkaribisha Mwenyekiti wa Mkutano wa Wabunge,
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa kufungua mkutano huo bungeni mjini Dodoma Januari
22, 2016. Kulia ni Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashilillah.
|
Waziri Mkuu,
Kassim Majliwa akisalimiana na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari
kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januari 22, 2016.
|
Waziri Mkuu,
Kassim Majliwa akiongea na Mbunge wa
Arumeru Mashariki, Joshua Nasari kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januari
22, 2016.
|
Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mafinga mjini Cosato Chumi kwenye
viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januari 22, 2016. Picha na Ofisi ya waziri Mkuu.
|
No comments:
Post a Comment